Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Sauti yako tu.
Hehehehehehe!!!!Sauti yako tu.
Asante kwa ufafanuzi.Ndiyo,
mfano no.2. Gudume gwa mbegu
3. Hugu gubaba guna gubu
Braza unanilenga mimi?Endeleeni kukua mtafika hapa nilipo kwasasa hamna vifua siwezi kuwapa siri nzito
.........View attachment 778533
NAKUITA
Njoo !!!
Nakuita.
Njoo twende.
Katika bustani yetu mpya
Tuliyoipanda katika vilima vya fikra zetu chokonozi
Nawaona nyuki wenye afya
Wakizunguka huku na huko kwa furaha
Huku wamebeba nta tamu mbichi nzito
Kutoka katika maua yetu yenye siri ya uzima
Tuliyoyapanda katika mioyo ya Edeni yetu changa
Nakuita; Ewe binti mwema mpole usiye na makuu
Hebu sogea hapa karibu nami.
Ili nikuonjeshe nta hii tamu nzito
Kisha tupumzike katika kumbato tamu la kweli
Huku tukisubiri asubuhi yetu njema
Itakayotuonyesha ramani sahihi ya maisha yetu.
KUTAPAMBAZUKA !!!
(C) SYB - JF
Yaani nyie watoto sijui mna tatizo gani!! Tangu asubuhi ya Beef lasagna mikono kukumbatia papuchi, mara kisima kinacho toa maji, sijui mashine amekabidhiwa opareta, ukigeuka huku vidole vinatekenya vipele vya papai,injini tokotokooo...Hahahahahaha!
Hivi mkuu leo tumejuliana hali kweli???
Maana tangu asubuhi ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Braza ukizingua mimi nakuchana live sina haja ya kuzunguka mbuyuBraza unanilenga mimi?
Hahahahahahaha!!! Siku ya MITOKOTOKOYaani nyie watoto sijui mna tatizo gani!! Tangu asubuhi ya Beef lasagna mikono kukumbatia papuchi, mara kisima kinacho toa maji, sijui mashine amekabidhiwa opareta, ukigeuka huku vidole vinatekenya vipele vya papai,injini tokotokooo...
Hivi hii nayo ni siku kama siku zingine?
Hamna nisamehe broBraza ukizingua mimi nakuchana live sina haja ya kuzunguka mbuyu
Nakutakia usiku wenye GunduGood night[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 778517
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakutakia usiku wenye Gundu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]