Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama mwanamke atatumia jasho linalozalishwa katika kwapa kujipaka katika Lips za midomo yake basi itamsaidia sana katika kuamsha Hisia zao, na pia inasaidia katika kurekebisha mzunguko wa hedhi, hiyo ni kutokana na utafiti kama ulivyofanyika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
078d7053-18e4-42ff-929d-af9af433c4e5.jpg
 
Kama mwanamke atatumia jasho linalozalishwa katika kwapa kujipaka katika Lips za midomo yake basi itamsaidia sana katika kuamsha Hisia zao, na pia inasaidia katika kurekebisha mzunguko wa hedhi, hiyo ni kutokana na utafiti kama ulivyofanyika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaaani mimi??nilambe jasho la kwapa??bora hizo hisia ziendelee kulala tu,akiii tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahaha!
Hivi mkuu leo tumejuliana hali kweli???
Maana tangu asubuhi ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hata sijui kama tumesalimiana kwa kweli. Leo uzi huu umeingiliwa na nini sijui. Ni moto kwa kwenda mbele. Maandaeitini leo mnatokotesha injini balaa...Angalieni tu zisije zikaungua...
 
Back
Top Bottom