Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanyakyusa ndo wanapenda kutumia lugha hiyo (kuvumisha kitu)Gubao ni nini?
Me sijui bhana[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mimi sijui carba, ningejua wala nisingkuuliza
Plz,, nipe jbu carba
Hata siamini, mtoto wa Tanga, unashindwa vipi kujuaMe sijui bhana[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Naona leo mapema bro
Mimi siyo tanga line bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata siamini, mtoto wa Tanga, unashindwa vipi kujua
Gubao???ni lile bao lakini hili ni kubwa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]