Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu usikatetee, kaliji haribu tangu kapo "nanihii Daima" baadaye wabana pua nao "wakala",ndo vile siwema alivyo enda kwa teja ndipo marehemu akaanza kutapatapa pa kuangukia.Kumbuka shule alikuwa anasumbua sana na yule binti mwenzie wa kichaga. Walimu nao "wakala" sanaa...
Hivi aliweza kuhitimu sekondari?
Mkuu kwa mujibu wa sheria za Tanzanua ukitembea na binti mwenye umri chini ya miaka 18, hata Kama umemtongoza mkakubaliana, kisheria wewe ni mbakaji, adhabu yako ni kifungo cha maisha, hata kama maumbile ya huyo bint yametanuka bado kifungo kinakuhusu. Hata hivyo tuachane na hii mada tugonge likes
 
FB_IMG_1526401484872.jpg
 
"Hata kama maumbile ya huyo binti yametanuka"
Hahahahahahahahahaha!!!
 
God has something amazing in front of you, amazing people, opportunities, influence, resources. He has something that you’ve never seen, something more rewarding, more fulfilling than you’ve ever dreamed.
 
Kuna mmoja aliwahi kunidanganya eti "bebi wee ni mzuri sana...una rangi nzuri jamaniii "
Sikujihangaisha kujikagua upya kwenye kioo maana najijua kwa rangi yangu ya mbabuko na sura yangu.
Ameishia kuisifia namba yangu ya simu kuwa ni nyepesi haisahauliki....
Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] ulikuwa unaibiwa mchana kweupeee
 
Back
Top Bottom