Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Masomo katika Uingereza
Mwaka 1888 alisafiri kwendaUingereza akasoma sheria kwenyechuo kikuu cha London, akapokewa kamawakili kwenye mahakama za juu kuanzia1891.
Huko Uingereza alisoma mengi juu ya Ukristo, akipendezwa hasa na mahubiri ya Yesu nahotuba ya mlimani, lakini hakuvutwa na nafasi ya pekee Yesu anayopewa katika imaniya Kikristo.
Wakati uleule alianza kusoma vitabu vitakatifu vya Uhindu, hasa Bhagavad Gitailiyoendelea kuwa mwongozo wa kiroho maishani mwake.