Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 778311
[emoji124] [emoji124] [emoji124] siji kwako... Kwanza mafuriko kibao, nije huko nimekuwa samaki?
 
Na kabint kalikua mcharuko mno na mahakaman alisema alikua na uhusiano ma marehemu kwa miez mitano sijui mitatu,mwaka huo huo wa ajali alisherehekea birthday akisema kafikisha miaka 20 means alibanjuka na marehem akiwa na 19yrs

Wanaomlaum mama kanumba wajiulize mbona wao wanailaumu serikali kumuachia askar aliyeua mwanafunz ndan ya daladala,je akifungwa askar mwanafunz atarud au?

Lulu angeacha janja janja akamaliza kifungo chake kwa amani,hii kitu itamtesa sana
Gule gumbaba gwenye ndevu utadhani fagio la kukusanyia takataka sokoni mbona haukulaumiwa kwa kampeni ya kumpunguzia umri binti? Sitivini hakuinjoi sana na hako kabinti.
 
Tangu, Wenger alipohusishwa na mpango wa kung’atuka na hata alipokuja kutangaza ataachia ngazi mwishoni mwa msimu huu, kuna majina kibao ya makocha yamekuwa yakihusishwa kwenye kukalia kiti hicho cha moto pale Emirates.
 
Makocha kibao wametajwa kuanzia wenye uzoefu hadi wasiokuwa na uzoefu, akiwamo Mikel Arteta na Patrick Vieira, ambao waliwahi kuwa wachezaji wa Washika Bunduki hao wa London. Max Allegri amegomea fursa hiyo na sasa kura inaonekana kumwangukia Arteta.
 
Supastaa wa zamani wa Arsenal, Ian Wright, amesema Mhispaniola huyo ndiye mtu mwafaka wa kwenda kurithi mikoba ya Wenger huko Emirates.

Ian Wright haoni kama kuna shida yoyote kumpa Arteta kiti kizito kama hicho hasa ikizingatiwa anakwenda kuirithi timu ambayo ilikuwa chini ya kocha mmoja kwa muda mrefu, ambayo pia hata utamaduni wake ni ule wa kumzunguka kocha huyo.
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Imenigusa hii. Hata wale manesi wakorofi wanaokushindilia sindano ya tako kama vile umewakosea nawaombea Mungu Awape moyo wa huruma na upendo...
 
Anachokiamini gwiji huyo ni kwamba Arteta alikuwa chini ya Wenger, hivyo atakachofanya ni kuendeleza tu falsafa zake kwa sababu si kitu kipya.

Arteta kwa sasa ni Kocha Msaidizi wa Pep Guardiola huko Manchester City. Baada ya kuipa ubingwa wa Ligi Kuu England Man City msimu huu, Guardiola amesema hawezi kumzuia Arteta kwenda Arsenal kama mabosi wa timu hiyo watahitaji kumpa kazi ya kuchukua mikoba ya Wenger.
 
Kwa hali ilivyo, Arteta, anaelekea kuwa mteule wa kuchukua mikoba hiyo ya Wenger.

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Arsenal, Ivan Gazidis, ameonekana kuunga mkono mpango wa kumpa kazi Arteta kwenda kuwa kocha mpya wa Arsenal.
 
Jambo hilo linafichua kwamba mpango wa klabu kwa sasa ni kuajiri kocha kijana na kuanza upya mipango yao, huku Vieira naye akiwekwa kwenye mpango huo.

Arsenal inahitaji kocha atakayedumu kwenye timu kwa muda mrefu ili kujenga kikosi imara kama ilivyokuwa kipindi ilipokuwa chini ya Wenger, aliyeinoa timu hiyo kwa karibu miaka 22. Kocha mwingine anayehusishwa kwenye mpango huo ni Luis Enrique.
 
Back
Top Bottom