Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siioni sahani ya ugali hapo...
Maisha ya kujipunja chakula siyapendi kabisa
Kujipunja chakula kunakuja pale daktari anapokwambia eti uache kula ugali kwa sababu eti ugali unaweza kukuua huko mbele ya safari. Na ukiangalia ukutani unakuta vyeti vinaonyesha daktari mwenyewe ni graduate wa Harvard basi inabidi tu uwe mpole [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza nikuulize unajua kuogelea??
Mjini nimeenda ukubwani.Mto Rufiji hata ujae vipi na mamba zake, naogelea kwenda kilabuni kununua mafuta ya taa kwenye chupa ya orenji sikwashi, naifunga kiunoni, narudi zangu home.
Mto Songwe umewahi kuusikia migogoro yake? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Imenigusa hii. Hata wale manesi wakorofi wanaokushindilia sindano ya tako kama vile umewakosea nawaombea Mungu Awape moyo wa huruma na upendo...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Anachokiamini gwiji huyo ni kwamba Arteta alikuwa chini ya Wenger, hivyo atakachofanya ni kuendeleza tu falsafa zake kwa sababu si kitu kipya.

Arteta kwa sasa ni Kocha Msaidizi wa Pep Guardiola huko Manchester City. Baada ya kuipa ubingwa wa Ligi Kuu England Man City msimu huu, Guardiola amesema hawezi kumzuia Arteta kwenda Arsenal kama mabosi wa timu hiyo watahitaji kumpa kazi ya kuchukua mikoba ya Wenger.
 
Kujipunja chakula kunakuja pale daktari anapokwambia eti uache kula ugali kwa sababu eti ugali unaweza kukuua huko mbele ya safari. Na ukiangalia ukutani unakuta vyeti vinaonyesha daktari mwenyewe ni graduate wa Harvard basi inabidi tu uwe mpole [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Harvad,mkuu kwan unatibiwa kwa kuangalia jina la chuo alichohitimu daktari
 
Kwa hali ilivyo, Arteta, anaelekea kuwa mteule wa kuchukua mikoba hiyo ya Wenger.

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Arsenal, Ivan Gazidis, ameonekana kuunga mkono mpango wa kumpa kazi Arteta kwenda kuwa kocha mpya wa Arsenal.
 
Jambo hilo linafichua kwamba mpango wa klabu kwa sasa ni kuajiri kocha kijana na kuanza upya mipango yao, huku Vieira naye akiwekwa kwenye mpango huo.

Arsenal inahitaji kocha atakayedumu kwenye timu kwa muda mrefu ili kujenga kikosi imara kama ilivyokuwa kipindi ilipokuwa chini ya Wenger, aliyeinoa timu hiyo kwa karibu miaka 22. Kocha mwingine anayehusishwa kwenye mpango huo ni Luis Enrique.
 
Taarifa za kutoka ndani ya Arsenal zinaweka wazi kwamba, idadi kubwa ya mabosi kwenye timu hiyo wanahitaji kocha kijana ili kuwafanya kucheza soka la kisasa na kukimbizana na ushindani uliopo kwenye Ligi Kuu England.

Na ndio maana, Gazidis na mkurugenzi mwingine Josh Kroenke, ambaye ni mtoto wa mmiliki Stan Kroenke, wameweka shilingi yao kwa Arteta baada ya kuvutiwa na usaidizi wake Man City.
 
Kuna kundi jingine la wajumbe wa bodi ya timu hiyo linaloamini kuwa Arsenal inahitaji kuajiri kocha mwenye uzoefu, lakini kwa sababu mpango wa kumleta Arteta unaonekana kusimamiwa na mabosi wakubwa zaidi akiwamo mtoto wa bosi anayemiliki timu, basi Mhispaniola huyo ndiye anayepewa nafasi ya kwenda kumrithi Wenger.
 
Sijasikia nihadithie babu[emoji23][emoji23]
Mjini nimeenda ukubwani.Mto Rufiji hata ujae vipi na mamba zake, naogelea kwenda kilabuni kununua mafuta ya taa kwenye chupa ya orenji sikwashi, naifunga kiunoni, narudi zangu home.
Mto Songwe umewahi kuusikia migogoro yake? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eti Harvad,mkuu kwan unatibiwa kwa kuangalia jina la chuo alichohitimu daktari
Ndiyo. Kwenye private sector huko ni muhimu kuijua historia na qualifications za daktari wako. Huwezi kukubali kufanyiwa opresheni hatari bila kujiridhisha kwanza kuhusu huyo daktari. Wengine ni crooks anakusakizia lioperesheni ambalo wala hulihitaji ili tu apige hela. Second na hata third opinion ni muhimu sana...
 
Back
Top Bottom