Ungejua sisemi, silali
kwako vile sihemi iiiiiih iiiih
we ndo kiboko yangu
Mahabubaaaa Aaaaaaah
nyongo mkalia ini
sinaga mwingine baba weeeee
nyongo mkalia ini
Shida yangu kukuona mzima babaaaa,
njaa sio tatizo
Kama shida tumezoea sana babaaaa,
tangu enzi hizo
Wacha wapaki marange nimependa bodabodaa
iiiiiiiyeeeeaaaaaaaaah
Ongeza mapenzi sitakuja kukumwaga
babaaa weeee aaaah
Chai kwa andazi wala sinaga shida
Iyeeeeeeaaaaaaah
Uniletee boga ninapomiss bagger
Iyeeeee eeh eeh
[emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji445][emoji443][emoji443][emoji445][emoji444]
[emoji177][emoji176][emoji176][emoji175][emoji177][emoji176][emoji176][emoji175][emoji177][emoji177][emoji176]
[emoji173]
Penzi KIKOHOZI