Huku hatukuli sana makande lakin mimi nikila kande ni sawa na nimelala njaa tuuKanda ya ziwa kwa kawaida makande huliwa jioni. Huko kwenu huliwa brekifasti ama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaambia ulinifundisha menu hio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mweeeh!
Wakija mi sku saidii
Unakula makande ndio chakula ya kulalia?
Kimdabuo[emoji23][emoji23][emoji23]
Masihara hayo mkuu,, ule makande hlf ufill umelala njaa,, aiseeHuku hatukuli sana makande lakin mimi nikila kande ni sawa na nimelala njaa tuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Masihara hayo mkuu,, ule makande hlf ufill umelala njaa,, aisee
Noma sana[emoji23][emoji23][emoji23]