Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1526414463683.jpeg
 
Mkuu HARUFU, habari yako mkuu. Umeadimika sana
Kiongozi.

Salama sana, nashukuru Mwenyezi Mungu anasaidia.

Nimebanwa na Safari za hapa na pale, yaani nipo kama sipo vile.

Nilikuwa INDIA Kiongozi wangu kwa takribani wiki tatu hivi.

Na hapa tunavyoongea Wiki ijayo Mwenyezi Mungu akipenda natambaa MASAFA mengine ya mbali.

Kwahiyo nitapotea tena.

Kiongozi, nashukuru sana kwa kujali, kunijali.

Ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom