Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mama mmoja mtaa wa kwetu hapa huwa anabeba ndizi kwenye Canter anauzia Chunya, hamalizi siku tano anarudi kupakia zingine. Kumbe wamama wengine wakawa wametamani soko la mwenzao, wakaungana,wakapakia ndizi Fusso mbili wakapanda nazo Chunya, wenyeji walivyoona mzigo ni mkubwa ikabidi wampigie yule mama wa kwanza kumuuliza kwanini kaamua kujilipua!!!

Hadi sasa ni wiki la pili wamama wana garagara na ndizi zao,mama wa kwanza yupo kubeba mkaa...

Utafutaji wa soko na kujua uhitaji wa kiwango cha ulaji wa mteja hatujui...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]injini ya nduguyo imepata opereta
Yeah!

Ila akija utasikia anaanza parabozi na misemo isiyo na kichwa wala miguu....

Bado kale kengine kabeba maua japo nako nahisi kameporomoshewa bonge la dedikesheni leo mchana...

Heshima kwa Jembekillo kwa sababu when all is said and done kuna watu humu watakuwa wanameremeta huku wakiwa wamepambwa maua...[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji445][emoji443][emoji444]Walisema haolewi mbona kaolewa[emoji444][emoji443][emoji445]
 
download-13.jpg
 
Back
Top Bottom