Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Huku toka asubuhi mkuu,, mvua ya kutoshaWakuu vipi hali mvua maeneo yenu hasa mliopo EA
Huku toka asubuhi mkuu,, mvua ya kutoshaWakuu vipi hali mvua maeneo yenu hasa mliopo EA
Ndiyo habari ya mjiniToa likes upate likes
Noma sana[emoji3] [emoji3] [emoji3]Haupoi
Ila uniq ni mmoja wa maandaeitini matata sana.Ni kiboko ya mashemeji wapenda kudai mahari mara mbili mbili [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aione shemeji yangu bahili aliyegoma kutoa mahari Uniq.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 778165
Mtoto mzuri kama huyu kumuweka jela ni kumdhulumu tu
[emoji3] [emoji3]HATUPOI
[emoji124] [emoji124] [emoji124] hao hao ndio wanaongoza kwa ujinga huo.Vipi kuhusu kugeuka na kutazama? Hiyo bado inaruhusiwa ama? Wapenda misambwanda kweli tutapona? Kazi ipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
POLISI: Marufuku kukohoa pale unapopishana na mwanamke mwenye makalio makubwa, hilo ni shambulio la aibu tutakukamata
Hatupoi[emoji16] [emoji16]Noma sana[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umesahau kibamiA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii friendzone ni kiboko hadi 2nd generation[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee!!! Cole huyu huyu kakabidhi mashine kwa opareta?Leo laivu kabisa bila chenga aisee. Uzi huu umebarikiwa sana !!!
Kuna siku nilimuona kwenye uzi fulani hivi nikajua wewe kuja kusoma id siyoItakuwa
Ngopyolo ni majani yanayo ota kwenye maji. Ni neno la kimwakaleli kabisa.
Hahaaaa kumbe mimi friendzone yangu inaafadhali[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii friendzone ni kiboko hadi 2nd generation[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna shikamoo zingine zina upako, ukipigwa nayo hadi kichwa kina vaibreti...Nahesabu aisee. I take my shikamooo siriazili....
Marahabaa na ukawe na siku njema. Nshafurahi tayari [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]injini ya nduguyo imepata operetaCheamani wa CHACHAWA umeyeyuka kirahisi kuliko kawaida [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mwee[emoji134] [emoji134] [emoji134] utakuwa ulitia huruma shemeji yangu mzuri...Kuna siku nilimuona kwenye uzi fulani hivi nikajua wewe kuja kusoma id siyo
Hakuna friendzone yenye afadhali bhnaHahaaaa kumbe mimi friendzone yangu inaafadhali[emoji23] [emoji23]