Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naomba link bro...Upo vizuri mkuu,, kuna sehemu nilikupita jinsi mnavyojijua wanawake, ulikuwa unashusha lekcha ya nguvu
Kule kwenye saikolojia
Naomba link bro...Upo vizuri mkuu,, kuna sehemu nilikupita jinsi mnavyojijua wanawake, ulikuwa unashusha lekcha ya nguvu
Kule kwenye saikolojia
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1442236/Nipe madesa kama umeshamfuatilia bro...
Ukungwi unasomewa maisha yote. Sasa hawa maandaeitini na ukungwi wapi na wapi? Ukungwi haupatikani kwa kusoma soma vijarida na kuangalia video bro...
Tayali bro!Naomba link bro...
EKIZAKITILI[emoji38][emoji38][emoji38]Na ww ni ebitoke mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ningendako Bwana
[emoji818][emoji818][emoji818]Albert Einstein ni moja kati ya wanasayansi ambao mchango wao katika elimu ya fizikia hauta sahaulika, Einstein atakumbukwa kwa formula yake aliyoiandika ya E = mc2 ambayo ni maarufu sana pamoja na mambo mengine mengi katika sayansi.
1. Inasemekana kwamba Albert Einstein alikuwa mzito kuelewa na kujifunza akiwa mtoto.
Inasemekana kwamba Einstein alianza kuongea akiwa na miaka mitatu ama mine kitu ambacho sio cha kawaida kwa watoto, lakini alikuwa na kugeuka mmoja kati ya watu ambao wanadhaniwa kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri.
Nitakwenda kujionea "ukungwi" anaousema bro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ningendako Bwana