Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa bahati mbaya ugunduzi wake huu alioufanya kwa kutumia darubin (telescope) ulikuwa ni kinyume na mahubiri ya kanisa la Roma wakati huo ambapo watu walifundishwa kuwa dunia ndio kitovu cha universe (Earth centered universe) wakiamanishwa kwamba Jua pamoja na sayari zote zinazunguka dunia.