Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
5. Einstein hakuwa na kumbukumbu nzuri.
Inasemekana kwamba mwanasayansi huyu hakuwa na kumbukumbu nzuri na hasaalikuwa na shida ya kukumbuka majina tarehe ama namba za simu.
5. Einstein hakuwa na kumbukumbu nzuri.
Inasemekana kwamba mwanasayansi huyu hakuwa na kumbukumbu nzuri na hasaalikuwa na shida ya kukumbuka majina tarehe ama namba za simu.
Mwanasayansi huyu alifariki dunia mwaka 1955 baada kupata kuvuja kwa damu kwa ndani na alikataaa kufanyiwa upasuaji akisema kwamba anataka kwenda pale wakati wake ukifika na sio kuongeza urefu wa maisha kwa njia mbadala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ili utusome tulivyo??lekcha uliyoitoa humo,ilibidi nsuscribe kabsa[emoji16]
Mwanasayansi huyu alifariki dunia mwaka 1955 baada kupata kuvuja kwa damu kwa ndani na alikataaa kufanyiwa upasuaji akisema kwamba anataka kwenda pale wakati wake ukifika na sio kuongeza urefu wa maisha kwa njia mbadala.
HaupoiMe too
mbona unacheka sasa[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], SANA
[emoji16] [emoji16] [emoji16] nilipata vingi sana humo ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ili utusome tulivyo??
[emoji23][emoji23][emoji23], sawa bwana[emoji16] [emoji16] [emoji16] nilipata vingi sana humo ndani