carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Shikamooo shemejiKuna shikamoo zingine zina upako, ukipigwa nayo hadi kichwa kina vaibreti...
Aaaaah... Nani anitwange nayo saa hizi nipate kilema cha kiuno[emoji144] [emoji144]
Shikamooo shemejiKuna shikamoo zingine zina upako, ukipigwa nayo hadi kichwa kina vaibreti...
Aaaaah... Nani anitwange nayo saa hizi nipate kilema cha kiuno[emoji144] [emoji144]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole nimemshindwa kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]injini ya nduguyo imepata opereta
Ilibaki kidogo nianze kuita baby[emoji23][emoji23][emoji23]sijui angenionaje aiseeh!!Mwee[emoji134] [emoji134] [emoji134] utakuwa ulitia huruma shemeji yangu mzuri...
Haya vipi kwema?
uniqIla uniq ni mmoja wa maandaeitini matata sana.Ni kiboko ya mashemeji wapenda kudai mahari mara mbili mbili [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kalivyo jeuri kamegoma kuhitimu masomo ya sekondari, kila mwaka kapo kidato cha nne...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani na mabusu juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole nimemshindwa kabisa...
Umesha iharibu tayari. Hauja nijulia bado?Shikamooo shemeji
HahahahaaaUmesha iharibu tayari. Hauja nijulia bado?
Umesha iharibu tayari. Hauja nijulia bado?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu na kapicha juu...
Kuna neno lile la maniga linaanzia na F...,akianza hivyo basi, ujue kumbukumbu zime evaporeti anarudi kuleeee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani na mabusu juu
Ila utashangaa kesho anaanza kuimba manyimbo yake yale sijui nan kamloga[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna shikamoo zingine zina upako, ukipigwa nayo hadi kichwa kina vaibreti...
Aaaaah... Nani anitwange nayo saa hizi nipate kilema cha kiuno[emoji144] [emoji144]
Dah leo alfajiri tumepigwa mkuu