ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Jamii inawawekea presha ya bure tu mabinti. Kwani lazima kuolewa? Ifike mahala tuwe kama huko kwingine duniani ambako zaidi ya nusu hawaolewi na wako sawa tu mbele ya jamii..
Ubaya hamsemi huko mliko ili tulinganishe. Huku wapi? Koromije ama?Huku toka asubuhi mkuu,, mvua ya kutosha
[emoji125] [emoji125] ngoja nikaendelee kuvuna maparachichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu nifundishe hiyo unayoitaka
Mahari katatoa tu. Likija suala la mahari huwa SIPOI kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila uniq ni mmoja wa maandaeitini matata sana.Ni kiboko ya mashemeji wapenda kudai mahari mara mbili mbili [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kalivyo jeuri kamegoma kuhitimu masomo ya sekondari, kila mwaka kapo kidato cha nne...
Kweli broJamii inawawekea presha ya bure tu mabinti. Kwani lazima kuolewa? Ifike mahala tuwe kama huko kwingine duniani ambako zaidi ya nusu hawaolewi na wako sawa tu mbele ya jamii..
Ni muuajiMtoto mzuri kama huyu kumuweka jela ni kumdhulumu tu