Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkongo Yanga afunguka kuwaandalia kipigo Rayon

MUUNGWANA BLOG / 7 hours ago




BAADA ya Yanga kuanza vibaya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo, amesema kuwa ni lazima washinde mechi yao ijayo dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda.

Yanga ilianza hatua hiyo kwa kufungwa mabao 4-0 na USM Alger ya Algeria ambapo keshokutwa Jumatano itacheza na Rayon kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.

Katika michuano hiyo, Yanga imepangwa Kundi D pamoja na USM Alger ya Algeria, Rayon Sport (Rwanda) na Gor Mahia kutoka Kenya.

Akizungumzia mikakati yake kwenye michuano hiyo, Zahera alisema: “Hatukuweza kufanya vizuri kwenye mchezo wa kwanza kutokana na kutokuwa na kikosi kamili kwa sababu wengine waligoma, nadhani mnajua, na mmesikia hilo.

“Lakini hivi sasa tunajipanga kwa mchezo ujao kuhakikisha tunashinda, tangu nimekuja hapa nimekuwa nikiwafuatilia wapinzani wetu tuliokuwa nao kundi moja, lakini kilichokuwa kinanifanya nisiweze kufanikiwa kuwaandaa vizuri wachezaji ni kutokana na wengine kukosekana.

“Hivi sasa wachezaji wangu wapo vizuri na matumaini yangu ni kuona tunafanya vizuri tukianza na mchezo huo dhidi ya Rayon hapa nyumbani.”
 
Hapa ndo ule msemo wa hakuna mkate mgumu mbele ya supu unapofaa kutumika[emoji23][emoji23][emoji23]

Shkamoo shem habari ya leo
Marahaba shemeji. Huku kwema. Huko vipi?

[emoji654]️[emoji654]️By the way, hii ni shikamoo ya kawaida au ni mojawapo ya zile za Andjul zinazofanya kichwa kivaibureti na kiuno kulemaa?
 
985-kak_uhazhivat_za_borodoj5985b.jpg
 
Robert Nesta "Bob" Marley (6 Februari1945 - 11 Mei 1981) alikuwa mwimbaji na mwanamuziki muhimu kutoka nchini Jamaika. Alivuma hasa kunako miaka ya 1970 na 1980. Ameweza kuifanya staili ya muziki wa reggae kuwa maarufu sana duniani. Muziki wake mwingi ulikuwa unazungumzia hadithi za nyumbani kwake na dini ya Rastafari ambayo yeye alikuwa anaifuata. Kuna baadhi ya nyimbo zake zinahusu masuala ya dini na zingine siasa.
 
Back
Top Bottom