Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema bro?Hello friends?
Kwema bro?Hello friends?
Kwema kabisa.Marahaba shemeji. Huku kwema. Huko vipi?
[emoji654]️[emoji654]️By the way, hii ni shikamoo ya kawaida au ni mojawapo ya zile za Andjul zinazofanya kichwa kivaibureti na kiuno kulemaa?
Asantepoleni wasafiri woote
Power Mwanakulya. Jitu lishibalo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kubakwa mtu anajipeleka??Mtoto wa mwenzio, mkubwa mwenzako
Kama ni "shikamoo" ngoja nivaibureti kichwa na kulemaa kiuno hapa kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]hata sijui ila hii ni "shikamoo" [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Siku inaelekea ukingonipoleni wooote
Jamani??[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]nimeshangaa dume/jike na hiyo migoya kifuani[emoji23][emoji23][emoji23]Yu sarenda ama? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Kila mtu ni mhimupoleni mnaolea nyumbani