Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bob Marley alizaliwa na mama mweusi kijana aliyeitwa Cedella Booker na baba wa Kizungu aliyeitwa Norvall Marley. Wakati yungali bwana mdogo, marafiki zake walimpa jina la utani kama "Tuff Gong".[1] Ameanza kazi zake za muziki kunako miaka ya 1960 hivi akiwa na kundi lake la kina Wailing Wailers, ambalo alilianzisha akiwa na marafiki wawili, Peter Tosh na Bunny Wailer. Mwaka wa 1962, Bob Marley na kina Wailing Wailers wakafanikiwa kurekodi nyimbo zao mbili za kwanza zilizoitwa "Judge Not" na "One Cup of Coffee".
 
IMG-20180508-WA0012.jpg
 
Bob amemwoa Bi. Rita Anderson mnamo 1966 na akajiunga na kundi akiwa kama mwitikiaji. Kwa pamoja wamefanikiwa kupata watoto watano. Mmoja kati ya hao ni Ziggy Marley, ambaye pia ni mwimbaji wa reggae maarufu sana.
 
Mwaka wa 1974, kundi la Wailers likavunjika kwa sababu wanachama wote watatu walitaka kujiendeleza kila mtu awe msanii wa kujitegemea. Lakini, Bob Marley aliendelea kuita bendi yake jina la Bob Marley and the Wailers na kujiunga upya na wanachama wapya na kuindelea kupiga muziki kama kawaida. Mwaka wa 1975, Bob Marley akatoa kibao chake cha kwanza kilichovuma kimataifa na kiliitwa "No Woman No Cry". Huko Jamaika, huhesabiwa kama kama shujaa wa jadi.
 
dfb1f59d-f7e9-4e72-828c-3c000f37be78.jpg

J. Marion Sims was a gynecologist in the 1800s who purchased Black women slaves and used them as guinea pigs for his untested surgical experiments. He repeatedly performed genital surgery on Black women WITHOUT ANESTHESIA because according to him, "Black women don't feel pain.” Despite his inhumane tests on Black women, Sims was named “the father of modern gynecology”, and his statue currently stands right outside of the New York Academy of Medicine. [HASHTAG]#Fight[/HASHTAG] White Supremacy
 
Baadhi ya vibao vyake vikali ni pamoja na "I Shot the Sheriff", "No Woman, No Cry", "Could You Be Loved", "Stir It Up", "Jamming", "Redemption Song", "One Love" na, "Three Little Birds",[2]. Albamu za studio ambazo ni maarufu kuliko ni ile iliyoitwa Legend, ambayo pia ina jumlisha vibao vyake vikali. Bob Marley alikufa tar. 11 ya mwezi wa Mei 1981, katika hospitali ya Cedars of Lebanon Hospital huko mjini Miami, Florida, kwa tatizo la melanoma (kansa ya ngozi).
 
Joseph-Désiré Mobutu aliyejiita baadaye Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga (* 14 Oktoba 1930 Lisala; † 7 Septemba 1997Rabat - Moroko) alikuwa rais nadikteta wa Zaire (Kongo-Kinshasa) kati ya 1965 na 1997.
 
Utoto na jeshi la kikoloni
Alizaliwa katika Kongo ya Belgijimwaka 1930. Kijana baada ya shule alijiunga na "Force Publique" yaani jeshi la kikoloni la Wabelgiji katika Kongo. Hadi 1956 akafikia cheo cha staff sajent akaacha jeshi na kufanya kazi magazetini akashiriki katika siasa.
 
Bob Marley alizaliwa na mama mweusi kijana aliyeitwa Cedella Booker na baba wa Kizungu aliyeitwa Norvall Marley. Wakati yungali bwana mdogo, marafiki zake walimpa jina la utani kama "Tuff Gong".[1] Ameanza kazi zake za muziki kunako miaka ya 1960 hivi akiwa na kundi lake la kina Wailing Wailers, ambalo alilianzisha akiwa na marafiki wawili, Peter Tosh na Bunny Wailer. Mwaka wa 1962, Bob Marley na kina Wailing Wailers wakafanikiwa kurekodi nyimbo zao mbili za kwanza zilizoitwa "Judge Not" na "One Cup of Coffee".
Nilitaka nimuulizie shogako uliko leo kumbe tayari ushafika. Tumshukuru Mungu...
 
Back
Top Bottom