ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
14:5414:25
14:5414:25
Vibayasiku imeshika kasi
Matunda ya andjulWTF? May be unajulikana hapo kazini kuwa una Kidatu dam [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
View attachment 778150
Njombe na maeneo mengine kote huko nitafika. Kikubwa tuombeane uzima tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usisahau na huku Njombe mkuu. Kuna joto la kufa mtu...
By the way, uliandika business plan au umejikurupukia tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], moto wa kuotea mbaaaliHatari hii! Weka mbali na watoto! [emoji1][emoji1]... huku safi, vipi huko?
Unatakiwa uwe risk taker,[emoji1] [emoji1] [emoji1] ushaur lazima,mana tunatofautiana uwezo na namna ya kufikiri
Kila la heri mkuu...Njombe na maeneo mengine kote huko nitafika. Kikubwa tuombeane uzima tu mkuu
Love it pia BAK
Vipi kwema lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23], jamaniUmeona eeeh! Mwalimu wako is oni faya tudei aisee. Yeye na Sweetlee leo ni siku njema mpaka ex chairman wa CHACHAWA nadhani wamemkamata...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema lakini?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] ukihitaj nafas ya uwakala kwenye usambazaji nichek [emoji41] [emoji41]Kila la heri mkuu...
Sawa mkuu. Hata Arachuga na kule Mbulu nadhani watahitaji hii huduma. Kuna wakati joto linazidi sana huko pia. Ntakucheki...[emoji120] [emoji120] [emoji120] ukihitaj nafas ya uwakala kwenye usambazaji nichek [emoji41] [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aione shemeji yangu bahili aliyegoma kutoa mahari Uniq.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 778165