Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heshima ikurudie Mkuu. Huyu jamaa unampenda sana. Mie nilitokea kumpenda kwanza kwa muziki wake pili kwa kujua kuzungumza na kupanga hoja zenye nguvu na logic kubwa. Yule Larry King wa CNN alikuwa akipenda kumuita mara kwa mara na kumpa saa nzima ya mahojiano. Shuleni pia zilikuwa zinacharge sana lakini mkwanja ukagoma ikabidi awe dropout.

Nilikuwa sikosi mahojiano yake na Larry King kwa saa nzima nilikuwa namsikiliza sikuboreka hata kwa sekunde moja.
Pamoja sana Kiongozi
 
Una bahati Andjul kalala ila shwaiini hata 50 ungezichezea leo. Wewe huyu huna bahati? Uliyeitwa kwenye darasa "ukafundishwe"?. Na maua yakatafutwa darasa likapambwa makazi ya Cleopatra cha mtoto? Na muziki laini wa Kihindi ukawekwa. Come on man [emoji36][emoji36][emoji36]

Hahaaa, basi huu ugumu umenikosesha mengi! Lakini kiapo ni kiapo tu, unapoapa lazima utekeleze matakwa ya hicho kiapo! [emoji2][emoji2]
 
3c7a6a90-0187-48ef-8f51-88e4632f2cca.jpg
 
Back
Top Bottom