Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heshima ikurudie Mkuu. Huyu jamaa unampenda sana. Mie nilitokea kumpenda kwanza kwa muziki wake pili kwa kujua kuzungumza na kupanga hoja zenye nguvu na logic kubwa. Yule Larry King wa CNN alikuwa akipenda kumuita mara kwa mara na kumpa saa nzima ya mahojiano. Shuleni pia zilikuwa zinacharge sana lakini mkwanja ukagoma ikabidi awe dropout.

Nilikuwa sikosi mahojiano yake na Larry King kwa saa nzima nilikuwa namsikiliza sikuboreka hata kwa sekunde moja.


e1dbc434611e0df5449b57a861a65af3.jpg
 
Back
Top Bottom