Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

alilazimika kuwapiga bei wachezaji wake nyota ili kuipunguzia timu mzigo na jambo hilo linaweza kuigharimu Spurs. Wenger jana Jumapili alitarajia kuiongoza Arsenal katika mchezo wake wa mwisho akiwa kocha wa timu hiyo walipomenyana na Huddersfield ugenini.
 
Fowadi huyo ataigharimu zaidi ya Pauni 200 milioni na Man United imeweka wazi ipo tayari kuvunja rekodi hiyo ya dunia pamoja na kumpa mshahara anaolipwa huko Paris wa Pauni 30 milioni kwa mwaka ili tu atue Old Trafford.
 
Real Madrid imekuwa ikiaminika kuongoza kwenye mbio za kumnasa mchezaji huyo ambaye aliushangaza umma wa wapenzi wa soka duniani wakati alipokubali kuihama Barcelona na kwenda PSG kwa ada ya Pauni 198 milioni. Lakini, Man United inaamini itatumia uhusiano wake mzuri na baba yake Neymar,
 
Neymar Santos Sr kumsajili mchezaji huyo ambaye mara kadhaa Kocha Jose Mourinho amekuwa akibainisha matumaini yake ya kufanya naye kazi ili kuifanya kikosi chake kuwa tishio kwenye Ligi Kuu England na Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Kama Man United itafanikiwa kumnasa Neymar kwa kuizidi ujanja Real Madrid, basi itakuwa matata kwelikweli msimu ujao kwenye ile fowadi yake, ambapo itakuwa na wakali watatu akiwamo Alexis Sanchez na Romelu Lukaku, huku kwenye kiungo akiwa Paul Pogba.
 
Kama Man United itafanikiwa kumnasa Neymar kwa kuizidi ujanja Real Madrid, basi itakuwa matata kwelikweli msimu ujao kwenye ile fowadi yake, ambapo itakuwa na wakali watatu akiwamo Alexis Sanchez na Romelu Lukaku, huku kwenye kiungo akiwa Paul Pogba.
 
Niuze mashamba na ng'ombe kisa mbunye? Nefaaaaaaaa !!! [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu jamaa katisha
Screenshot_20180514-232834.jpg
 
Back
Top Bottom