[emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaambia ulinifundisha menu hio
Ee ili nikiamka asubuh nisiwe na njaa uchumi mgumu ebo
nmekuja kukuchukua ukalinde lindoThis is the question we should be asking
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Masihara hayo mkuu,, ule makande hlf ufill umelala njaa,, aisee
[emoji2] [emoji2] [emoji2]nmekuja kukuchukua ukalinde lindo
Maybe,, au zinakosewa katika upikaji aisee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mi mwenzenu huwa naona sishibi may ve kwa kuwa sizipendi labda
Nihame niende wapi...jua nikihama nakubeba na ww[emoji2] [emoji2] [emoji2]
My God! Nlijia umehama jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maybe,, au zinakosewa katika upikaji aisee
Au makande ya huko Dar watakuwa wanayapika kama mtori mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nihame niende wapi...jua nikihama nakubeba na ww
Unazijua kande lakini? Au tunaongelea vitu viwili tofauti? Ule kande za ukweli halafu uwe umelala na njaa tu? Watu wa Dar mna vituko kweli aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Huku hatukuli sana makande lakin mimi nikila kande ni sawa na nimelala njaa tuu
Huo ndo ukweli mkuu,, yanashibisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila kuna ndugu yangu hapa kaniambia
Yeye huwa yana mshibisha
Tena mchana kweupe...Neksti generesheni inaandaliwa....Kimdabuo[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti makande kama mtori[emoji23]Huo ndo ukweli mkuu,, yanashibisha
Kweli
Mwanaume wa Dar pengine hata makande hayajui [emoji16][emoji16][emoji16]Masihara hayo mkuu,, ule makande hlf ufill umelala njaa,, aisee
Hujui kande mkuu[emoji2] [emoji2]
Wakija kwani mi ntaonekana
[emoji125]
Hivi wenzangu kande huwa mnapikaje mpaka mnasema zina shibisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba,ledada kitoo maize mixer pyaar beans with sweetlee peanuts[emoji124][emoji124]
Kwa kifupi nimepika makande[emoji23][emoji23][emoji23]