Nenda Ajentina mtafanikiwa[emoji23][emoji23][emoji23]...
Ndio imeshatokea sasa yani sijisikii vizuri kabisa kukaa na wewe ujerumani
Hahah letz wait[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ntahakikisha umefeli
Au wewe nenda Ureno basiNenda Ajentina mtafanikiwa
Mnaweza fika hata robo
OyoooooolKwa hali ya Magufuli nikihonga demu kiepe ni lazima nimtembezee rungu kwa Mredi kipepe
[emoji23][emoji23][emoji23] braza mavibe niliyonayo hatari sana hapa nasubiri ulale tu nimwage madini humuOyooooool
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahah letz wait
Mimi sjasema kuwa ni shabiki wa Ureno[emoji1]Au wewe nenda Ureno basi
[emoji23][emoji23][emoji23] braza tuyaache hayo kwanza japo umesema ukweli[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ila braza dada angu wa kwanza si unaye wewe mwnyewe?
Sindio na mimi nakufukuza uende kwa cr7 sasa [emoji23]Mimi sjasema kuwa ni shabiki wa Ureno[emoji1]
Nenda kwa Messi ujue yule ni King
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] braza mavibe niliyonayo hatari sana hapa nasubiri ulale tu nimwage madini humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] braza tuyaache hayo kwanza japo umesema ukweli
Wala sio uongo [emoji23] alafu ule uzi wenu siku hizi hauna radhaHahahaha
Kwa makusid kabsa
HahahahaSindio na mimi nakufukuza uende kwa cr7 sasa [emoji23]
Hapana braza mimi ni mtu safi kabisa, basi tu ni tatizo la kiufundi limejitokeza hapo..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza wewe siyo rafiki mzuri
Ni snitch [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wala sio uongo [emoji23] alafu ule uzi wenu siku hizi hauna radha
Ata mimi hivyo hivyo ila World cup iliyopita ile final nilikua na wakati mgumu sanaHahahaha
Stakiiii
Ntaenda kama Germany ikitoka
Nilifurahi sanaa asee sku ile i was over the moonAta mimi hivyo hivyo ila World cup iliyopita ile final nilikua na wakati mgumu sana
Aaah!! Mlikutana watu wenye roho nyepesi kama pamba yani maneno ya watu tu yakawayumbisha na kufukuza wengine?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Watu walitoka bhana
Halaf kashfa zlilikuwa ni nyingi sana so watu walishindwa kuvumilia maneno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana braza mimi ni mtu safi kabisa, basi tu ni tatizo la kiufundi limejitokeza hapo..
Hahah nilifurahi pia ila Mess alitaka kunitoa machozi pale kwenye kuvaa medalNilifurahi sanaa asee sku ile i was over the moon