Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Unakosea sana mkuu embu nirudishie vyeo vyangu bhana...[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulikuwa Generali kamili
Nime kushusha cheo utakuwa Luten Generali
Unakosea sana mkuu embu nirudishie vyeo vyangu bhana...[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulikuwa Generali kamili
Nime kushusha cheo utakuwa Luten Generali
Hivi shemeji anaonaga post zako huku? Unanifurahishaga sana !!!Ofcoz naogopa ukimwi because ndio gonjwa lenye heshima japo toka nimebarehe sijabahatika kupima
Yes broAaah!! Mlikutana watu wenye roho nyepesi kama pamba yani maneno ya watu tu yakawayumbisha na kufukuza wengine?
HahahahaUnakosea sana mkuu embu nirudishie vyeo vyangu bhana...[emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahah nilifurahi pia ila Mess alitaka kunitoa machozi pale kwenye kuvaa medal
Alitia huruma sana sio siri alichafua furaha yangu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bad hukufurahi
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi shemeji anaonaga post zako huku? Unanifurahishaga sana !!!
Aisee hii mada ngoja niiache mana nikiendelea nayo itanichafuaHahahaha
Braza hata hiko bado ni cheo cha juu provided ulivo ni snitch kwa masista
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Aisee hii mada ngoja niiache mana nikiendelea nayo itanichafua
Nakumbuka kipindi mpo kwenye ubora wenu na Mwifwa ndio alikua mfunga geti [emoji23]Yes bro
Tena ule uzi ulikuwa the best at night
Nilikuwa nakuwa kamanda wa kikosi cha anga
Birgedia General
Alikuwa Major General Mwifwa kikosi cha Ardhini huyu alikuwa hatariii, juoa kume mstaafishs
Alikuwepo Admiral Sir Manga ML kokosi cha majini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila sku hizi imekuwa ghosy town
Hahah!! Huwa anatokea kimya kimya alafu anaenda kuyazua huko pmHivi shemeji anaonaga post zako huku? Unanifurahishaga sana !!!
Hahah! Braza utaishi maisha ya kujibana kisa unaogopa kushushwa points na mtoto wa kike?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Shemeji akimuona atamshusha points asee
Atakuwa huwa hapiti uku
Hukawiagi kuyazua tena hadharani[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Usjali asee
AaahNakumbuka kipindi mpo kwenye ubora wenu na Mwifwa ndio alikua mfunga geti [emoji23]
HeeeehHahah! Braza utaishi maisha ya kujibana kisa unaogopa kushushwa points na mtoto wa kike?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hukawiagi kuyazua tena hadharani
Maaskari wako walikua kama maaskari wa Marekani bwanaAaah
Man i miss those people, sema watu walikuwa na mioyo myepesi walivo anza kusemwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Heeeeh
leo.kawa a mere mtoto wa kike! Jist like that?