HahahahHahah!! Poa usijari
Ukishakua kwenye ile mood yako ya vurugu huwa hauambiliki ukasikia [emoji2]Hahahah
Bro ila mboma hukuwa una niambia kama unakuwa uncomfortable?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukishakua kwenye ile mood yako ya vurugu huwa hauambiliki ukasikia [emoji2]
Hahah!! Usijari bro mana haikuleta madhara siunajua baya lisilodhuru nisawa na jema lisilo na faida tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mimi huwa napenda jokea nilikuwa najua ile ndio subject ina tu unite sote watatu.
Ila i regret saying alot of jokes, ila baadaye nilikaa chini nika ji evakuate nikaona siwafanyii fair