[emoji23][emoji23]we mwana unanifurahishaga sana mzee02:18
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]sweetdream sweetht
Kufurahi ni jambo jema mwana, nafurahi kwa kukufurahisha mzee...[emoji23][emoji23]we mwana unanifurahishaga sana mzee
Anhaaa! Thats cool, Haya kaka ulale salamaSawa bro usijari she is my friend nitampa ushirikiano wa kutosha
Pamoja sana mkuu...Anhaaa! Thats cool, Haya kaka ulale salama
Basi ukimwona popote mtendee kama vile ambavo huwa una nitendea mimi.
See you
We na jamaa yako hapo mnapiga story siku nzima [emoji23][emoji23][emoji23] afu story haziishiKufurahi ni jambo jema mwana, nafurahi kwa kukufurahisha mzee...
Hahah! He is my brother basi story ni nyingi sana mkuu ila ameshaaga sasa.We na jamaa yako hapo mnapiga story siku nzima [emoji23][emoji23][emoji23] afu story haziishi
Kwema mzee.Hahah! He is my brother basi story ni nyingi sana mkuu ila ameshaaga sasa.
Vipi lakini kwema?
Aah shukrani mkuu kumbe siries ndio zimekuweka mpaka saa hii?Kwema mzee.
karibu tucheck series
Yah mzee kitu ya McmafiaAah shukrani mkuu kumbe siries ndio zimekuweka mpaka saa hii?
Hahah sio queen of south?Yah mzee kitu ya Mcmafia
Ha ha ha ha hiyo nasubiri june mzee season 3 inaanza kua hewaniHahah sio queen of south?