Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu hakwenda kwenye hio shughuli kakalia kukosoa wenzie
Hicho ndo kisingizio sidhan kama bi sandra anaweza loweka wigi lake kosha akasingizia la hamisa au kama ni kweli la bi sandra basi tununu hapendwi mpaka kuzuliwa skendo kama hio duhKuna hii nimeikuta kwa millyView attachment 778967
Ndio,yeye alipoulizwa kwann hakwenda akasema mama ake alimchelewesha wakati huo huo aunt aliulizwa akajibu nguo ya wema haikua tayari ndo maana hakwendaKumbe hizo nguo alivaa kwenda nazo kwa photoshoot??
Hicho ndo kisingizio sidhan kama bi sandra anaweza loweka wigi lake kosha akasingizia la hamisa au kama ni kweli la bi sandra basi tununu hapendwi mpaka kuzuliwa skendo kama hio duh
Marahaba shemeji. Kwema huko? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Shikamoo shem
Ndo mana nikasema ni drama queen.Ndio,yeye alipoulizwa kwann hakwenda akasema mama ake alimchelewesha wakati huo huo aunt aliulizwa akajibu nguo ya wema haikua tayari ndo maana hakwenda
[emoji23]View attachment 778977
Acha ukorofi Shiro. Kwema?[emoji23]View attachment 778977
Kuna wanaume wana bahati hapa duniani. Jamaa kapata triplets dah !!!
View attachment 778976
Marahaba shemeji. Kwema huko? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo chenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nilichowaza sasa[emoji23][emoji23][emoji23]hapana