Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati kipindi cha mwezi mmoja kikibakia kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia huko Urusi, mmoja wa waamuzi walioteuliwa kuchezesha fainali hizo, Fahad Al Mirdasi huenda akapoteza fursa hiyo maridhawa baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Saudi Arabia (SAFF) kumsimamisha na kuanza kumchunguza kwa tuhuma ambazo bado hazijawekwa wazi.
 
Uongozi wa SAFF umetangaza uamuzi wa kumuondoa refa huyo katika jukumu la kuchezesha mchezo wa fainali wa Kombe la Mfalme nchini humo huku ukitangaza kuanza kumchunguza refa huyo mwenye umri wa miaka 32, uamuzi ambao unaweza kuhatarisha nafasi yake katika kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia.
 
Al Mirdas alijizolea umaarufu pindi alipochezesha mchezo wa kuwania mshindi wa tatu kwenye mashindano ya Kombe la Mabara baina ya Ureno na Mexico ambapo katika mechi hiyo alitoa penalti mbili, kadi mbili nyekundu huku akimtoa kwenye benchi kocha wa Mexico, Juan Carlos Osorio.
 
Nyinyi Mafisadi Papa

20171220_133154.jpg

Joka hilo linakusalimu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom