Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aione Gwajima mzee wa ufufuo na uzima...Mmmh, humu ndani kuna mtu aliwahi onaga aliyekufa akafufuliwa? Aliyewahi kuona atuletee ushuhuda
Wacha weeeee!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mapacha watatu, kisu kimoja. Safi sana full upendoKuna wanaume wana bahati hapa duniani. Jamaa kapata triplets dah !!!
View attachment 778976
Kicheko tu, kwe kwe kwe[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mmh[emoji124][emoji124]Hakuna ukweli hapa.
Yess nipoooEnyi mnaopenda kumwaga povu kwa vitu vidogo tu
Huyu hana tofauti na KOBOKO lenye makengezaView attachment 778990
Joka hilo linakusalimu [emoji16][emoji16][emoji16]