Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Zabibu au tikitimaji?Amezaye tunda zima zima hujiaminisha koo lake.
Aahaah. Hao ni Mabaga freshKona zingine siyo nzuri. Be careful!
Mi naomba nikujaze Likes kwanza.
Nimeona Notification zako tu.Karibu nipo nyuma huku... nazijaza haswa haswa hizo like
Mbona leo Mapema?Usiku mwemah kwa wote.
Aaa wapi. Kama umefumaniwa ni kutoka mkuku tu [emoji23][emoji23][emoji23]Mtu akivuliwa nguo huotama, hainuki.
U will be the first to cheer upMrejesho muhimu...
Anafanya kazi nzuri sana ya kukumbushia kumbushia. I respect that!Myoyambendi mzee wa toa likes Pata likes
Lakini there is possibility ya kufanikiwa[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mrejesho muhimu...
Unakwenda kwenye lile paja ama? Good luck and good night!Usiku mwemah kwa wote.