Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mpe vitu ongeza hata kama sio nyimboNampa nyimbo tu mkuu
Mpe vitu ongeza hata kama sio nyimboNampa nyimbo tu mkuu
Umeshaunusa nusa kule sehemu?Wanasema upo ila sijajua
Mzee wa vinaMaisha yanaenda kasi kama huu uzi,
Watakaobisha ni wapuuzi,
Naongeza Ujuzi ka Mbuzi,
Nazidi kunywa Mchuzi kwa Mluzi.
Ahahahah!! Hiyo Fid q anasema ni Vina Mwanzo , Kati, na MwishoShaaban Robert cha mtoto. Safi sana mkuu!
..Nazidi kuvimiminaMzee wa vina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntajaribu... nitaleta mrejeshoKabisa maana wqkati wa kuoga huwa kuna vibes za kuimba sana
Hata wasanii wengi maarufu watunga nyimbo wakati wapo bafuni
Vina tu.Karibu bila aibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Imba binti imbaaaaa (in Bonny Mwaitege's voice)
Hivi vituko vya Obama huwa ni really au ni photoshop?
Upo mbele yangu mkuuLooo nipo nyuma haswaaaaa
Koromije alikozaliwa Bashite [emoji23][emoji23][emoji23]. Tunataka kuigeuza hiyo nyumba kuwa jumba la makumbusho. Na ile aliyokulia yule jamaa wa kuliamsha dude mfufua wafu!Niambieni wapi nchini mikoani kunavutia kutembelea
Nimerudi..nasikilizia minong,onoHahaa
Usisite nasubiri mrejesho utaona mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntajaribu... nitaleta mrejesho
Kwa ajili ya huduma za dharulaHahhahaha.
Ila punguza mbwembwe mbona umetoa viti vya nyuma kwenye huo mgongo wa chura