Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,142
NiceImba binti imbaaaaa (in Bonny Mwaitege's voice)
Chukua likengosha wa N'gwanza.
Siyo kila paja unatamani mkuu. Mapaja mengine yana wenyewe. We unaona vinaelea tu basi you take it for granted. Shauri yako! [emoji23][emoji23][emoji23]Sema mama ila paja hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu tremendous leo picha zako zote ni tata
Tungebuni mfumo wa oral likes...[emoji23][emoji23][emoji23]Najiuliza kama ningekuwa sijui kusoma.
Huu utamu wa Likes Ungenilita
Macho hayana pazia mkuu.Siyo kila paja unatamani mkuu. Mapaja mengine yana wenyewe. We unaona vinaelea tu basi you take it for granted. Shauri yako! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbali na ule wa mama, upo haupo?Upendo wa kweli