Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino yuko tayari kuwakataa Chelsea kwa sababu anasema ana furaha kuwa na klabu yake. (Star)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ngoja nimuulize kwanza babe wangu, akiniruhusu nawekaaa..
Hahahahahha!!! Unavyopenda ubuyu sasa....Aaah acha tule ubuyu
Arsenal wamefanya mazungumzo na kiungo wa kati wa Nice Jean-Michael, 26, ambaye thamani yake ni pauni milioni 40. Lakini mahasimu wao wa London Chelsea wanaongoza mbio na kumsaini raia huyo wa Ivory Coast. (Mirror)

Ubuyu mtamu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahha!!! Unavyopenda ubuyu sasa....
HahahaaNgoja nije[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji818][emoji818][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama unaitwa Ann na kwa profile
Yako ya fb umevaa mini-skirt ya black. Kuna mzee apa kwa gari anazoom mapaja zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]