PAGAMECO
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,206
- 1,238
navutiwa sana na uandishi wako so smart love you.Watu watakufuata na kutaka kukatisha ndoto zako, usikubali, pambana, amini kwamba kuna siku utashinda na kuwa bora duniani, utakuwa na heshima na kila mtu atatamani kufika pale ulipofika, cha msingi, mtegemee, Mwenyezi Mungu ndio muweza wa kila kitu,