Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unajua alifanya nini alipolipwa dola elfu thelathini na tano baada ya kuuza ile script?

Stallone alimpenda sana mbwa wake, kitu cha kwanza kabisa, akataka kumnunua tena, akaenda katika lile duka la pombe kali, akaanza kumusubiri yule jamaa aliyemuuzia mbwa, alisubiri kwa siku tatu
 
Someone said that short people laugh when they run because the grass is tickling their jaw.
emoji23.png
emoji23.png
 
Katika siku ya tatu, akafanikiwa kumuona jamaa aliyemuuzia mbwa akija dukani hapo huku akiwa na mbwa huyo, alichokifanya Stallone ni kuanza kumuelezea jamaa sababu iliyomfanya kumuuza yule mbwa kwamba ni ugumu wa maisha, ila katika kipindi hicho, alimhitaji mbwa wake, amnunue kwa gharama yoyote ile. Jamaa akakataa kumuuza. Stallone akampa jamaa dola mia moja. Jamaa akakataa. Akampa dola mia mbili na hamsini. Jamaa akakataa. Akampa dola mia tano. Jamaa akakataa. Akaamua kumpa dola elfu moja. Jamaa akakataa.
 
Leo hii, Stallone yuleyule aliyekuwa akilala mitaani na kumuuza mbwa wake kwa sababu tu hakuweza kumnunulia chakula, ni mmoja wa waigizaji wakubwa, wenye fedha nyingi hapa duniani.
Kuvunjika moyo ni kitu KIBAYA. Ulishawahi kuwa na ndoto nzuri? Ndoto iliyokuhamasisha kutimiza ndoto zako lakini baadae ukavunjika moyo na kuona hutaweza? Ndugu zangu, wengi wenye mafanikio wamepitia hukohuko.
 
Watu watakufuata na kutaka kukatisha ndoto zako, usikubali, pambana, amini kwamba kuna siku utashinda na kuwa bora duniani, utakuwa na heshima na kila mtu atatamani kufika pale ulipofika, cha msingi, mtegemee, Mwenyezi Mungu ndio muweza wa kila kitu,
 
Back
Top Bottom