Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipo nilienda break kidogo
Unavyo rudi unijiage na barua kama hii
f6399d800fbfb9a30b1dd97e2e6af8b0.jpg
 
Fursa gani mkuu? Tutumie kufahamiana na kutaniana huku kupeana maarifa juu ya fursa za kijasiriamali. Tayari hapa nimeshapata watu wawili walionipa mawazo mapya kuhusu maisha. Kutongoza tongozeni lakini na fursa za maana zikija pay attention. Kuna watu wa kila aina humu na usione avatar ya mtu ukamdharau. Anaweza kuwa milionea huyo au masikini tu lakini ana mawazo yanayoweza kukuonyesha another angle ya maisha...
Naamini ipo siku na si mbali sana tutakuwa tumejuana kwa malengo mazuri tu. Tusihukumiane kutokana na miandiko yetu. Kuna watu humu wana miandiko ya hovyo ila wapo mbali kimaisha. Tuvumiliane na tusinyimane fursa.
 
Back
Top Bottom