Unavyo rudi unijiage na barua kama hiiNipo nilienda break kidogo
Kiongozi habariMnisamehe niliyowakwaza hapa na pale.
Tusahemeane tu wakuu.
Atakuwa yupo sehemu anaruka KwanjaE bwana vipi.... Mbona Huonekani viwanja?
Hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unavyo rudi unijiage na barua kama hii
Huko naenda kugawa likes tu. Huku kidogo kumechangamka na watu ni wengi. Kule napapenda sana ila watu ni wale wale na stori ni zile zile za Mr. na Mrs. Kidogo panaboa. I am still there...Kwema?E bwana vipi.... Mbona Huonekani viwanjani?
Hata kama ni milaini?Usimwige tembo kula miiba.
Kuna zingine nilikuwa sijawahi kuzisikia. Au umejitungia mwenyewe?Methali hizo
Na hiyo avatar? Siyo umle?Mtto mzuri aje inibokisi nimpe madini
[emoji23] [emoji23]Wanawake Muumba Anawaona [emoji23][emoji23][emoji23]
Enzi ya mapenziHahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naamini ipo siku na si mbali sana tutakuwa tumejuana kwa malengo mazuri tu. Tusihukumiane kutokana na miandiko yetu. Kuna watu humu wana miandiko ya hovyo ila wapo mbali kimaisha. Tuvumiliane na tusinyimane fursa.Fursa gani mkuu? Tutumie kufahamiana na kutaniana huku kupeana maarifa juu ya fursa za kijasiriamali. Tayari hapa nimeshapata watu wawili walionipa mawazo mapya kuhusu maisha. Kutongoza tongozeni lakini na fursa za maana zikija pay attention. Kuna watu wa kila aina humu na usione avatar ya mtu ukamdharau. Anaweza kuwa milionea huyo au masikini tu lakini ana mawazo yanayoweza kukuonyesha another angle ya maisha...
Safi kiongoziMmeshindaje