ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
AiseeJina Kamili La AKON ni "ALIAUNE DAMANA BOUGA TIME BONGO PURU NACKA LU LU LU BADARA AKON THIAM"
AiseeJina Kamili La AKON ni "ALIAUNE DAMANA BOUGA TIME BONGO PURU NACKA LU LU LU BADARA AKON THIAM"
Ni fact kabisa!PITIENI NA HUU UZI KUJUA KWA BILA WANASAYANSI WA AFRICA PIA AMERCA NA ULAYA WASINGEFANIKIWA KWA LOLOTE TATIZO NI TAMAA ZA WANASAYANSI WA AFRICA UZI HUU UNAFACT TUPU
Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao
[emoji144][emoji144][emoji144]Here is your word for today:
Verse: Psalm 116:7 TPT
'Now I can say to myself and to all, 'Relax and rest, be confident and serene, for the Lord rewards fully those who simply trust in Him.'
- We must never allow anything to rob us of our confidence in the Lord.
- Relax, be at rest, be confident and be at peace.
- The LORD has dealt bountifully with you and will continue to do so.
- Simply trust in Him - He will fully reward you!
PRAYER: Lord, as I simply trust You, I rest in the reassurance that You are a good good Father. I confidently say to myself and allothers: I am resting in the confidence I have in My Lord and Saviour. Amen.
Have a blessed Thursday.
Kind Regards
NDIO hivyo kiongozi yaani nimepata maexpert wa africa wazito wazito wanaendesha maproject makubwa kwenye mataifa makubwa lakini africa tunabaki walamba nyayoooNi fact kabisa!
Ndiyo tumesha amka usingizini sasa!
Huoni JPM haja hangaika kwenda kwao?
Hiyo yote ni fikra ya mwafrika kujitambua thamani yake!
Ghadafi alisema sana juu ya hii issue!
Mola tuongoze walahi!
Sad walahiNDIO hivyo kiongozi yaani nimepata maexpert wa africa wazito wazito wanaendesha maproject makubwa kwenye mataifa makubwa lakini africa tunabaki walamba nyayooo
realSad walahi
Hakuna lolote la maana uliloandika mkuu. Hoja yako ya msingi haieleweki. Wengi uliowataja ni wasomi wa kawaida tu na wenye michango ya kawaida sana katika taaluma zao.PITIENI NA HUU UZI KUJUA KWA BILA WANASAYANSI WA AFRICA PIA AMERCA NA ULAYA WASINGEFANIKIWA KWA LOLOTE TATIZO NI TAMAA ZA WANASAYANSI WA AFRICA UZI HUU UNAFACT TUPU
Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao
KUPOA hakukwepeki...Mlimhola?TUMEPOA
sasa kiongozi hayo wanayoenda kuyafanya nchi jirani kwanini wasiyafanye huku na mafanikio yakitokea yatwalipaHakuna lolote la maana uliloandika mkuu. Hoja yako ya msingi haieleweki. Wengi uliowataja ni wasomi wa kawaida tu na wenye michango ya kawaida sana katika taaluma zao.
.
Inafanya kazi bro ila naona wame update terms and conditions sijui privacy policy , inabidi u-accept kwanza kwenye browser.Kwenu JF App inafanya kazi? Mimi tangu jana imenigomea. Nime-uninstall na kuiweka upya mambo ni yale yale. Ni huu mkweche wangu wa simu au app ndiyo ina matatizo?
Mlihola ni nini?KUPOA hakukwepeki...Mlimhola?
OK. Nimefanya hivyo na sasa imekubali. Ajabu hata hiyo privacy policy sijaisoma. ASANTE.Inafanya kazi bro ila naona wame update terms and conditions sijui privacy policy , inabidi u-accept kwanza kwenye browser.
Karibu[emoji4]OK. Nimefanya hivyo na sasa imekibali. ASANTE.
Kwani hata waliobakia Afrika wana mchango gani wa maana? Unafikiri ni kwa nini maprofesa wetu wanakimbilia kwenye siasa?sasa kiongozi hayo wanayoenda kuyafanya nchi jirani kwanini wasiyafanye huku na mafanikio yakitokea yatwalipa
Mlihola ni nini?