carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mbona mapema sana leoUsiku mwemah kwa wote.
Nakupata vizuri.... Na huu uzi naona una rocket speed.Huko naenda kugawa likes tu. Huku kidogo kumechangamka na watu ni wengi. Kule napapenda sana ila watu ni wale wale na stori ni zile zile za Mr. na Mrs. Kidogo panaboa. I am still there...Kwema?
Amalinze the Cat!!!Onkwonko
Yaah yupo active kufanya legacy ya huu uzi iwepoAnafanya kazi nzuri sana ya kukumbushia kumbushia. I respect that!
Mbona unaaga sana hivi?...usiku mwema na kwako piaNawatakia usiku mwema kwa mara nyingine tena.
AMUN RA [emoji23][emoji23][emoji23]. Mzee wa Liver leo kapotelea wapi?Naamini ipo siku na si mbali sana tutakuwa tumejuana kwa malengo mazuri tu. Tusihukumiane kutokana na miandiko yetu. Kuna watu humu wana miandiko ya hovyo ila wapo mbali kimaisha. Tuvumiliane na tusinyimane fursa.
Tupo kamanda...Ila sijui kama nami nimo kwenye hilo group la wakubwa...Leo wakubwa kimya