Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Marahabaaa...

Wambea subiri wakija...

You are destined for greater things...

Mungu hatakuacha...Remain focused...

Na huyo kijana mwambie akutreat vizuri. You deserve it !!!
Dadiiiii ni nini lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] haiyaaaaa haaaaaaaaaiyeeeee woyoooooo
 
Akizungumza na MCL Digital, Michael amesema alipigwa na mwalimu wake kama sehemu ya adhabu baada ya yeye na wenzake kushindwa kutekeleza agizo la kuchonga mwiko wa kupikia.

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara, Dk Hosea Bisanda amesema madaktari hospitalini hapo wanaendelea kumhudumia mgonjwa huyo na kwamba hali yake imeanza kuimarika.
 
Akizungumza na MCL Digital, Michael amesema alipigwa na mwalimu wake kama sehemu ya adhabu baada ya yeye na wenzake kushindwa kutekeleza agizo la kuchonga mwiko wa kupikia.

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara, Dk Hosea Bisanda amesema madaktari hospitalini hapo wanaendelea kumhudumia mgonjwa huyo na kwamba hali yake imeanza kuimarika.
Oya Numby mbona unapotena sana sku hizi?
 
Manchester United inajiandaa kupeleka ofa ya Pauni 40 milioni kwa Tottenham ili kumnasa beki Toby Alderweireld kwa lengo la kuimarisha safu yake ya ulinzi, ambayo huenda ikaondokewa na nyota kadhaa wanaoonekana kutomridhisha kocha Jose Mourinho.

Mourinho ametajwa kuwa kwenye mpango wa kufanya mabadiliko kadhaa kwenye safu yake ya ulinzi ikidaiwa yuko mbioni kuwatema Daley Blind, Luke Shaw na Phil Jones na kuleta nyota wapya, ambao wataimarisha ukuta wa timu hiyo na anaamini kumpata Alderweireld kutasaidia kutimiza hilo.
 
Hamu ya Man United kumtengea dau beki huyo anayeweza pia kucheza kama kiungo mkabaji, imekuja baada ya kuwepo taarifa kwamba klabu yake iko mbioni kumruhusu aondoke kutokana na kushindwa kupata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo inayonolewa na Mauricio Pochettino.
 
Inatajwa kuwa Spurs inataka kumuuza Alderweireld kwa dau hilo ili ipate fedha zitakazoiwezesha kumsajili nyota wa Ajax Amsterdam, Matthijs de Ligt ambaye klabu yake imemuweka sokoni kwa dau la Pauni 50 milioni. Hata hivyo, Manchester United wanapaswa kutumia nguvu kubwa kumshawishi beki huyo ajiunge nao kwani amekuwa akinyatiwa na klabu nyingine kubwa kama Barcelona, Chelsea na PSG.
 
Kaone. Yaani siku nikionana nawe sijui nitakufanya nini tu. Halafu sasa utakuta mwonekano wako pengine tofauti kabisa na personality yako hii ya mtandaoni. Hovyo kabisa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakuamkia goti mpaka chini kisha huyooo ndukiiii
 
Licha ya kufanya kazi kubwa ya kuitoa Everton, mkiani mwa msimamo wa ligi na kuipandisha hadi nafasi ya nane, Allardyce ametupiwa virago kwa kile kilichotajwa kuwa klabu hiyo haijaridhishwa na kiwango kibovu ambacho timu hiyo ilikionyesha kwenye Ligi Kuu England msimu uliomalizika.
 
Back
Top Bottom