Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mbona mapema sana chief?Usiku mwanana
Mbona mapema sana chief?Usiku mwanana
Aki ya Mungu Jf nzimaaaHahah!! Eti JF nzima inajua
Sweetlee anajua sanaa [emoji1]Hahah!! Sweetlee hajui kitu bro
Basi mimi naonaga kama vile watu wengine hawajui kituAki ya Mungu Jf nzimaaa
Kasoro member walo ingia mwezi huu they know.
So sjawahi kuona shida kwenyw hilo naulizaga kiroho safi tu
Haki tena sweetlee hajui kituSweetlee anajua sanaa [emoji1]
Halaf bro heshim Sweetlee mke wa Cole yule
Braza kwanza ngoja nikwmbie kituBasi mimi naonaga kama vile watu wengine hawajui kitu
She knowsHaki tena sweetlee hajui kitu
Nina nguvu kama MoBoss naona leo huachii ngazi kabisa
Hahah!! Eti superstar.... sema ile thread ilikua gumzo adi kwa ModsBraza kwanza ngoja nikwmbie kitu
Mkeo ni superstar wa jf so na siredi ile ilikuwa kubwa snaa watu wanajua but wanakaushaga tuu
Bado nipoMbona mapema sana chief?
Mmh basi atakua huwa ananiactia tu juu ya hili swalaShe knows
I know it
MofayaNina nguvu kama Mo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahah!! Eti superstar.... sema ile thread ilikua gumzo adi kwa Mods
Wanasemaje huko Lake Zone?Bado nipo
Braza nakukumbusha badoMmh basi atakua huwa ananiactia tu juu ya hili swala
Hii kauli yako ina ukamasi sana mzee sema cheza na mazingira tu. [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ila kama hutataka nimuulizie tenaa
I will respect your decisiom
Hahah!! Wewe siunaona muda ule alivyomkataa jamaa mbele ya macho yenuBraza nakukumbusha bado
Ni wa Cole yule naona unaruka hiko kipengele[emoji23]
SawaHii kauli yako ina ukamasi sana mzee sema cheza na mazingira tu. [emoji23]
Hamna bro hakumkana bhana [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahah!! Wewe siunaona muda ule alivyomkataa jamaa mbele ya macho yenu