Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kamekamatwa sawa sawa leo hata kuandika kitu kinachoeleweka hakawezi. Usicheze na show za kibabe aisee. Ujanja wote kwisha [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitoo be like daddy kalaleee utaumwa usingiziii
 
Leo shemeji yupo nini?

Dabuliwa salama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena show za kibabe uamke umekonfyuzi umbea wote kwishnei [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umbea hauna posho ila mtamu kuliko asali,walala mholaaaaa
 
Inatajwa kuwa Spurs inataka kumuuza Alderweireld kwa dau hilo ili ipate fedha zitakazoiwezesha kumsajili nyota wa Ajax Amsterdam, Matthijs de Ligt ambaye klabu yake imemuweka sokoni kwa dau la Pauni 50 milioni. Hata hivyo, Manchester United wanapaswa kutumia nguvu kubwa kumshawishi beki huyo ajiunge nao kwani amekuwa akinyatiwa na klabu nyingine kubwa kama Barcelona, Chelsea na PSG.
 
Everton imetangaza kumtimua kocha wake Sam Allardyce, ikiwa ni miezi sita tangu alipopewa jukumu la kuiongoza klabu hiyo akirithi mikoba ya Ronald Koemann, ambaye Novemba mwaka jana aliondolewa kutokana na matokeo yasiyoridhisha.
 
Licha ya kufanya kazi kubwa ya kuitoa Everton, mkiani mwa msimamo wa ligi na kuipandisha hadi nafasi ya nane, Allardyce ametupiwa virago kwa kile kilichotajwa kuwa klabu hiyo haijaridhishwa na kiwango kibovu ambacho timu hiyo ilikionyesha kwenye Ligi Kuu England msimu uliomalizika.
 
Nilikuja Everton wakati klabu haifanyi vizuri na tukamaliza kwenye nafasi ya nane. Binafsi nina furaha kubwa, maofisa wangu wa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wangu wote tunafurahia mafanikio tuliyopata,” alisema kocha huyo.
 
FA linabakia taji pekee ambalo Kocha wa Chelsea, Antonio Conte anaweza kuondoka nalo msimu huu, na linabakia kuwa taji pekee ambalo Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho anaweza kulitwaa msimu huu baada ya kushindwa kutwaa taji la Ligi Kuu, Kombe la Ligi na Ligi ya Mabingwa wa Ulaya.
 
Back
Top Bottom