Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maraia tupo siku nzima akija anaguza kwenye zile za page aliyoikuta tu alafu yeye anaweka za siku mbili ndani ya saa moja na sisi tuguse zote [emoji23][emoji23]. Hapana kabisa
Siku hizi watu wanakuja na mafyekero yao tayari tayari wanajimwagia likes wao wenyewe halafu haooo wanakwenda zao. Wenyewe wanagawa likes moja moja hapa na pale wanamwaga mamia ya picha na wanadisappear...Likes...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…