Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d71c51f9-6299-4b71-a6f0-09309c6b7343.jpg
 
Tatizo brp hastukag mapema anabaki mpenzi mtazamaji,watu wakibeba anaenda leta ma dedication paranoid kibao za kujiliwazia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uzi huu majamaa hayachelewagi. Nakumbuka enzi za Bob (Baba Viv) na kaYego (kabla hakajaingia kwenye ugumu feki). Kuna watu humu tulikuwa hatulali kuchunga mazizi. Naamini hata kulega lega kwa ndoa yake ya kwanza kulianzia kipindi hiki. Hatarudia makosa ya wakati ule [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom