Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Sweetlee kaweka avatar ya bonnyNamuona bonny hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sweetlee kaweka avatar ya bonnyNamuona bonny hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuwa na chrome. Ingia JF kupitia chrome umalizane na mods kwanza kwa kukubali hizo privacy rules mpya halafu ndo uje kwenye appSamsung internet mkuu.
Nitampatia PESA yake, tena yote kabisa
Sawa mkuu asanteh, ngoja nijaribu.Fungua chrome, safari (au browser yo yote unayotumia) halafu ulog in huko. Kama una kompyuta log in huko kwa kutumia browsers. Itakubidi uaccept new privacy policy. Ukishaaccept basi rudi kwenye app yako na itafanya kazi vizuri tu. Ni tatizo ambalo kila mmoja wetu kwa wakati mmoja ama mwingine tumekumbana nalo tangu juzi kwenye app. Fanya hivyo halafu ulete mrejesho
Kwema sanaNjema sana bro. Kwema huko?
Haiitaji usomee hesabu ili kutambua ninalomaanisha hapa bro [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] duh !!!
[emoji23][emoji23]Sweetlee kaweka avatar ya bonny
Hahah!! Nikweli lakiniUzi huu, kama ilivyo popote pale, ni kuvumiliana tu kwa sababu kila mtu na lwake. Na tofauti zetu hizi ndiyo raha yenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi huu majamaa hayachelewagi. Nakumbuka enzi za Bob (Baba Viv) na kaYego (kabla hakajaingia kwenye ugumu feki). Kuna watu humu tulikuwa hatulali kuchunga mazizi. Naamini hata kulega lega kwa ndoa yake ya kwanza kulianzia kipindi hiki. Hatarudia makosa ya wakati ule [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Coleeeeeeee ohooooooo
Kumbe nani yumo [emoji23]Mie simo kabisaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu nae atakua kazioga [emoji38]Siti ya mbele ina likes za kutosha[emoji23][emoji23]
Nilifikiri Bonny Mwaitege...Sweetlee kaweka avatar ya bonny
[emoji23] [emoji23] sijui aliwaza niniPozi lake tu
Nimekupata bro...Haiitaji usomee hesabu ili kutambua ninalomaanisha hapa bro [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]She is indeed surging [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kaniangalie instaNgoja nigoogle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], She z sexy[emoji23] [emoji23] sijui aliwaza nini
Aah bro naona haya ni matatizo ya kufundi huwa yanatokea kwenye hizi app yani add ya mtu mwingine unaona ina avatar ya mtu mwingineNilifikiri Bonny Mwaitege...
Kulikuwa sababu za avatar hiyo kuwekwa hapo? Au huyo Bonny naye aliweka avatar ya shemeji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wa hali ya juuNamuhesabiaga likes yule na mimi nampa hizo hizo maana ule wake ni unyonyaji [emoji23]