Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

A:Kama kidole chako cha pete ni kirefu zaidi ya kidole chako cha shahada , ni dhahiri kwamba Watu hawa ni wazuri wa sura ila kuwa na fujo ni kawaida yao. si waoga wanajitoaga muhanga kwa mambo ya hatari na wanaweza kuwa askari bora au hata wahandisi. michezo wanayoweza kucheza vizuri ni chesi na kufumbua mafumbo. Utafiti huo umegundua pia kwamba wao hutengeneza pesa zaidi kuliko wenzao ambao kidole chao cha pete ni kifupi.
 
Binadamu siye [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
445512965_356548.jpg
 
B:Kama kidole chako cha pete ni kifupi zaidi ya kidole chako cha shahada , inadaiwa kuwa unajiheshimu na usiyejiamini ulivyo, Na hupenda kufurahia muda wako na hupata hasira pale mtu anapoingilia faragha yako. Wewe ni bora katika kupokea upendo kuliko kutoa upendo kwa wengine, kwa maana ya kuwa wewe ni ngumu kuchukua hatua katika maisha yako ya kimapenzi.
 
C: Kama kidole chako cha pete na kidole chako cha shahada vinalingana urefu wewe Unatajwa kuwa ni mtu wa amani sana. Wewe hujaribu kuepuka mgongano na kujaribu kupatana na watu muda wote, Wewe ni mwaminifu, mpole sana na hujali mpenzi wako.
 
Tofauti katika urefu wa Vidole inajulikana kama Digiti uwiano(Digit Ratio) katika duru za kisayansi. Ingawa kulikuwa na tafiti chache mwishoni mwa miaka ya 1800 ziliyobainisha kuwa kulikuwa na idadi kubwa ya wanaume ambao waliokuwa na vidole vya pete virefu zaidi ya shahada,kuliko wanawake,ugunduzi HUU kwa kiasi kikubwa ulipuuzwa kwa miaka mingi
 
Unahitikadi kama zangu mkuu, kila unalowaza nawazaga hilo hilo.
Hahah!!

Kauli mbiu

Toa unapopata
Toa kiwango sawa na unachopata

[emoji23][emoji23]
Ila kweli mna akilo sawa maana mkipata likes 50 tu mshascreenshot na kubandika hapa mnanichekeshaga[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125]sio mie niloesema
 
Back
Top Bottom