andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nimekatunza... Mara huyooo... Huu noozi!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekatunza... Mara huyooo... Huu noozi!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]BratheeeWeka fungu zima zima Shiro [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 780747
[emoji134][emoji134][emoji134]Nani kasema?We si wa kishua
Wanaume wengine wana roho korofi aisee. Huyu lengo lake lilikuwa nini? Hata kama kuna kitu alikikuta ambacho hakufurahia si angalau angesema? What goes around comes around. Huwezi kumfanyia hivi mtu halafu ujidanganye eti huko ulikoenda utaishi maisha ya amani tu. No way...Mwanahamisi anasema harusi hiyo haikuwa na neema hata kidogo maana mume wake alimtelekeza katika chumba walichokuwa wanakaa. Kodi ilimwishia na kwao ni mkoani Kigoma.
Wazazi wake hawakuwa na taarifa ya ndoa yao kutokana na mwanaume huyo kudai kwamba wafunge ndoa kwanza sababu mwezi mtukufu umekaribia na baadaye watajipanga vizuri wafanye sherehe ya kupeleka na mahari rasmi.
Lakini matokeo yake, sherehe haikufanyika na baadaye kuambulia kukimbiwa na meme na kubaki bila kazi wala hela za kujikimu.
Aisee...Bw Matibwa anasema kuwa tukio lile lilimuumiza sana, ingawa mpaka sasa yuko na mke wa kwanza ambaye walikuwa wameshazoeana kwa raha na shida.
Bwana huyo anasema, hivi karibuni uchungu wa kumpoteza mke wake wa pili umemrudia maana ameolewa tena Ijumaa iliyopita na ndoa imekuwa kipindi hicho hicho cha Ramadhani.
"Bado ninampenda mke wangu wa pili mpaka kesho licha ya kwamba inabidi nikubali kwa sasa kwa kuwa ameolewa.
Lakini tatizo kubwa ni maadili tu na siku hizi hamna wazee wa kutusuluhisha," anaongeza kusema.
[emoji106][emoji106]Wanaume wengine wana roho korofi aisee. Huyu lengo lake lilikuwa nini? Hata kama kuna kitu alikikuta ambacho hakufurahia si angalau angesema? What goes around comes around. Huwezi kumfanyia hivi mtu halafu ujidanganye eti huko ulikoenda itaishi maisha ya amani tu. No way...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekatunza... Mara huyooo... Huu noozi!!!
I am telling you poti...Things that make you go hmmm! [emoji1]
Vipi kijana,kwema huko?Things that make you go hmmm! [emoji1]
Mahusiano mema ni kuaminiana. Kama hamuaminiani aweke pin asiweke ni bure. Mimi nitaweka pin ila nitampa passcode ili akitaka kuangalia kinachoendelea afanye hivyo. Pin ni muhimu katika kutunza data zako hasa ukipoteza simu na kasheshe nyingine kama hizo. Wakati wanahangaika kui-crack hiyo passcode, unaweza chapu chapu kulog in na kuhamisha na kufuta data zako muhimu.
Vipi kijana,kwema huko?
Leo hujamuita "Mnyaki"? Hata zile "shwaiiini" leo hutaambulia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwema kabisa ndugu yangu. Vipi huko na mambo ya weekend, yameshaanza?
Labda aliomba p akanyimwa akaona gia ya ndoa itasaidiaWanaume wengine wana roho korofi aisee. Huyu lengo lake lilikuwa nini? Hata kama kuna kitu alikikuta ambacho hakufurahia si angalau angesema? What goes around comes around. Huwezi kumfanyia hivi mtu halafu ujidanganye eti huko ulikoenda itaishi maisha ya amani tu. No way...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo hujamuita "Mnyaki"? Hata zile "shwaiiini" leo hutaambulia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]